Ni 'kufa au kupona' Kombe la Dunia Wanawake nchini Ufaransa 2019

Source: Getty Images
Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 2019, linatarajiwa kuwa tajiri zaidi na kutazamwa zaidi, linakaribia kuanza nchini Ufaransa. Kuna nchi 24, ikiwa ni pamoja na Australia, zinashindana katika mashindano, ambayo mwaka huu yataendeshwa kwa wiki nne kuanzia Juni 7 ((hadi Julai 7)). Huyu hapa Frank Mtao akikwambia nini unahitaji kujua.
Share