Jumatatu tarehe 15 Juni ni siku yakutoa uelewa wa unyanyasaji dhidi ya wazee duniani.
Nchini Australia, inakadiriwa kuwa mtu mmoja kati yawatu kumi ambaye ni mzee hunyanyaswa katika hali fulani.
Namba yasimu kwa watu wanao kabiliwa na unyanyasaji ni 1800 353 374, na hatakama ni namba yakitaifa, namba hiyo huwaelekeza wanao ipiga kwa namba ya usaidizi katika jimbo au wilaya wanako ishi.
Share





