Jamii yawanafrika kujadiliana na wanasiasa mjini Sydney
Bango la mwaliko wa mkutano Source: Picha: Africa Alliance for Peace
SBS Swahili ilizungumza na mwanzilishi wa shirika la Africa Australia Alliance for Peace Bw Jerome Rugazura, siku moja kabla ya mkutano ambao ame andaa, utakao kutanisha jamii tofauti na wanasiasa katika mjadala. Bonyeza hapo juu kusikia mahojiano kamili.