Jean-Paul Amedee Nizigama ndiye mwenyekiti wa jamii yawarundi wanao ishi jimboni New South Wales, alifafanulia Idhaa ya Kiswahili ya SBS, hisia ambazo tukio hilo lime zua miongoni mwa wanachama wa jamii yake.
Jamii yawarundi wa Sydney, watoa heshima zao kwa marehemu Rais Nkurunziza

Jean-Paul Amedee Nizigama mwenyekiti wa jamii yawarundi wa NSW, aongoza jamii yake katika mkutano wakutoa heshima za mwisho kwa marehemu Rais Peter Nkurunziza Source: SBS Swahili
Warundi kote duniani wanaendelea kukabiliana na taarifa ya kifo cha ghafla, cha aliye kuwa rais wao Peter Nkurunziza.
Share