Hata hivyo, si kila mtu katika jamii yawanyarwanda wanao ishi Sydney, alijumuika katika ibada hiyo sehemu moja ya jamii ikiwa ilifanya ibada sawia mwezi wa nne.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bi Jane ali elezea hisia zake kuhusu ibada hiyo, pamoja nakuzungumzia hatua ya baadhi ya wanachama wenza wa jamii yake kutoshiriki katika ibada hiyo.