Kujua mengi zaidi kuhusu kanuni na madhara ya Kenya kushushwa daraja, SBS Swahili ilizungumza na mwamuzi wa mchezo wa raga Bw Jay ambaye aliweka wazi mapungufu na sehemu ambako Kenya ilikosea hadi kujipata nje ya michuano hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.