Je majirani wa Kenya katika jimbo la Mashariki ya Afrika, wanazungumziaje uongozi wa aliyekuwa rais wa pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi.
Jay "Moi alikuwa nauthubutu wakukabiliana na vizuizi vya uongozi"

Wakenya waomboleza kifo cha rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi Source: Getty Images
Wakenya duniani kote wame ungana kuomboleza kifo cha rais wa pili wa nchi yao.
Share