Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

JC Mapatano aboresha huduma zamatibabu DR Congo

Bw Jean Claude Mapatano na baadhi ya kompyuta anazo tuma DR Congo kwa huduma yamatibabu
Bw Jean Claude Mapatano na baadhi ya kompyuta anazo tuma DR Congo kwa huduma yamatibabu Source: ABC North Coast

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Shirikika hilo lina makao yake makuu mjini Lismore, NSW, Australia na hutoa huduma ya afya kwa wanawake na watoto nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Shirika la MESH pia hutoa kompyuta zilizo karabatiwa kwa zahanati kwa matumizi ya tiba nakuhifadhi maelezo ya wagonjwa nakupunguza matumizi ya maelezo ya wagonjwa kuandikwa katika vitabu ambavyo vinaweza chanika na hata kupotea.

Kwa maelezo ya ziada kuhusu mradi wa Bw Jean Claude, sikiza makala kimili.


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now