Licha yakuwa na miaka mitano yakuandaa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, chaguzi katika kanda kadhaa zili ahirishwa baada ya hati zakupigia kura kuwasili katika vituo vyakupigia kura zikiwa na taarifa za wagombea wasio wa maeneo bunge husika.
Katika juhudi yakupata uelewa wa taratibu za maandalizi ya chaguzi yoyote, SBS Swahili ilizungumza na Bw Chris Cheruiyot ambaye aliwahi hudumu kama afisa wa uchaguzi nchini Kenya.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.