Alfred Koech ni mwanariadha mstaafu anaye ishi Australia, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili aliweka wazi baadhi ya changamoto zinazo wakabili wanariadhi wengi haswa wanao toka katika familia za pato la chini.
Je! kipi bora, kuwakilisha nchi yako au kujitaftia maslahi yako binafsi?

Cheptegei wa Uganda awashinda wanariadha wenza katika mashindano. Source: distributor
Wanariadha wengi wenye asili ya Kenya, wana endelea kujipata kwenye njia panda, wengi wakikabiliwa na uamuzi wakuwakilisha nchi zao nakusalia na pato dogo au kujitafutia riziki zao binafsi katika mataifa mengine.
Share