Mitandao yakijamii imelipukwa kwa ukosoaji wa tangazo hilo, wengi waki hoji umuhimu wakuwa na maombolezi yanayo dumu kwa siku tano kwa kiongozi wakigeni. Licha ya ukosoaji huo, tangazo hilo limepokewa kwa hali chanya na baadhi yawa Tanzania.
Padre ni mkaazi wa Australia mwenye asili ya Tanzania, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alimulika uhusiano kati ya Tanzania na Uingereza, pamoja nakufunguka kuhusu uamuzi wa siku tano za maombolezi zilizo tangazwa na Rais Samia.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.