Ben Mulwa ni mgombea wa zamani wa wadhifa wa urais wa Kenya.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bw Mulwa aliweka wazi baadhi ya maswala ambayo, yanaweza kuwa yalichangia kwa Bw Odinga kuto timiza ndoto yake yakutangazwa mshindi baada yakuwania wadhifa huo kwa mara ya tano.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.