Inashukiwa kifo cha Bw Warne kilisababishwa na mshtuko wa moyo, alipokuwa katika liko na rafiki zake nchini Thailand.
Mwanaume huyo mwenye miaka 52 alitoa hamasa kwa mamilioni ya watu uwanjani na, mara nyingi alihusika katika vyombo vya habari kwa matendo yake nje ya uwanja. Serikali ya Victoria ime hakikisha kuwa urithi wa Warne, utaishi milele katika uwanja wa Melbourne Cricket Ground.