Hata hivyo Bw Morrison anaendelea kukabiliwa kwa kashfa moja baada ya nyingine, hali ambayo wachambuzi wengi wamaswala ya siasa wanahisi inaweza mnyima ushindi katika uchaguzi mkuu ujao.
SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wapiga kura siku chache baada ya tangazo la tarehe ya uchaguzi mkuu, kujua ni maswala gani yatakayo shawishi kura zao kwa wagombea na vyama husika katika uchaguzi mkuu ujao.