Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, mmoja wa wanachama wa jamii yawa Tanzania wanao ishi Australia, ali tufafanulia uhusiano kati ya Uingereza iliyo chukua nafasi yawalinzi wa Tanzania pamoja na masaibu yaliyowakuta watanzania chini ya mpangilio huo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.