Uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, umepokewa kwa hisia mseto na baadhi ya raia kutoka nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
Katika mazungumzo maalum, SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya viongozi wa jamii jimboni Queensland, kuhusu ujio wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.