Ila kuna wasiwasi bajeti hiyo haija enda mbali sana, kulingana na wanachama mhimu wa jamii ya Australia nakimataifa.
Matarajio yalikuwa juu sana kwa kile ambacho bajeti ya mweka hazina Jim Chalmers ingesema kuhusu maswala ambayo serikali ya Labor ilichukua meizi kadhaa kuzungumzia kuhusu.
Maswala hayo nikama: Elimu, huduma ya wazee, uhaba wa ujuzi pamoja na mfumuko wa bei.
Na majibu ya papo hapo kwa kile ambacho bajeti hiyo ilisema kuhusu maswala hayo, yame kuwa kwa sehemu kubwa chanya.