Kupata uelewa zaidi kuhusu swala hili tulizungumza na afisi kutoka shirika linalo simamia maswala ya matatizo ya michezo ya kamari katika jamii zenye tamaduni mbali mbali jimboni NSW Bw Patrice Nyembo.
Je! una fahamu mbinu zakujikinga dhidi ya madhara ya mchezo wa kamari?

Wataalam wamezua wasiwasi kuwa, matatizo mengi yakamare yame hamia mtandaoni. Source: AAP
Wiki iliyo pita nchini Australia, ilikuwa wiki yakutoa uelewa wa matatizo ya mchezo wa kamari.
Share