Ila, kwa jamii nyingi zinazo Australia na kawaida huwa zina zungumza lugha isiyo Kiingereza nyumbani, inaweza kuwa changamoto kubwa kuhakikisha watoto wanao zaliwa nchini Australia, wana zungumza lugha zao za asili pamoja nakudumisha tamaduni zao.
Monica ni mwalimu mkuu wa shule ya Kiswahili katika mji wa Newcastle, jimboni New South Wales. Ali eleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu jinsi shirika lake hukabiliana na changamoto zakufunza watoto Kiswahili nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.