Misimu ya ligi hizo mbili ime isha hivi karibuni na nyota wa FC Barcelona walitua mjini Sydney, masaa machache yaliyo pita. Je! nyota hao wata ipa uzito inayo stahili au, itakuwa ni mteremko dhidi ya wapinzani wao ambao hawana uzoefu mkubwa dhidi ya wachezaji bora kama wale wa FC Barcelona.
Je! vijana wa A-League All Stars wataweza dhibiti makali ya FC Barcelona?

Baadhi ya wachezaji wa FC Barcelona watakao cheza katika mechi yakirafiki Sydney, Australia. Source: Getty
Siku moja inasalia kwa vijana wa A-League All Stars, kukabiliana na wakali wa ligi kuu ya Uhispania FC Barcelona mjini Sydney, Australia.
Share