Baadhi ya walio hudhuria ibada hiyo walizungumzia, kazi na maendeleo ambayo hayati Magufuli alileta nchini Tanzania, katika muda wa miaka mitano na miezi michache aliyo ongoza taifa hilo la Afrika Mashariki.
Je! watanzania wana deni lakuendeleza kazi za maendeleo aliyo anzisha hayati Magufuli?