Bw Jean Marie ni Kiongozi wajamii yawatu kutoka DR Congo wanao ishi Shepperton. Katika mazungumzo na SBS Swahili, alituarifu jinsi anasaidia wanachama wa jamii yeye binafsi, na katika nafasi yake kama kiongozi wa jamii.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.