Jeki yaufadhili yatolewa kuziba pengo kwa wanafunzi wakiafrika

Biong Deng Biong - SBS Source: SBS
Zaidi ya shule ishirini ambazo zina wanafunzi wengi walio hamia nchini kutoka nchi zakiafrika, zinatarajia kupokea jeki ya uwekezaji yenye thamani yamamilioni ya dola.
Share