Miongo ya vurugu katika kanda hilo ambayo haina ishara yamaboresho imeharibu uaminifu wa vikosi vya Umoja wa Mataifa kwa mtazamo wa watu wa Congo.
Kikosi hicho cha kanda ya Afrika Mashariki, kita leta wanajeshi kutoka nchi nne na kita kabiliana na vikundi vingi vyenye silaha, haswa kundi tata la M23, ambalo ni maarufu katika kanda hilo kwa vurugu yake dhidi ya raia.
Rwanda inaendelea kudai kuwa ina laumiwa bila kosa kwa matatizo hayo.
Ila Kivu ni nyumbani pia kwa rasilimali nyingi za madini, ambazo zinazo tumiwa vibaya na M23 pamoja na makundi mengine kupitia vurugu mbaya.
Mauaji, ubakaji na ukeketaji ni kawaida Congo, hivyo vyote hutumiwa kukandamiza umma nakupora eneo hilo kulingana na Kinshasa kwa faida ya Rwanda.
Hii ndiyo hali ambayo Kenya nawashiriki wake, wanajihusisha nayo kwa sasa.