Jinsi kuanzisha biashara iliwasaidia wanawake hawa wahamiaji kujipa uhuru wakiuchumi

Mjasiriamali Hawanatu Bangura Source: SBS
Utafiti unaonesha kuwa wanawake nchini Australia kutoka mazingira ya uhamiaji, wanauwezekano mkubwa wakutopata ajira inayostahili, kutolipwa mishahara inayo stahili au huenda wanaujuzi wajuu zaidi kuliko ajira zao.
Share