Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Jinsi ya kutatua mizozo na majirani wako nchini Australia

Noisy neighbour

Noisy neighbour Credit: cervellimanagement.com

Nyumbani ni sehemu ambako tuna hisi starehe zaidi.


Published

By Zoe Thomaidou

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Nyumbani ni sehemu ambako tuna hisi starehe zaidi.


Ila, hisia hii ya starehe inaweza isha au hata kupotea kama hatu elewani na majirani wetu.

Kuna wakati matendo ya Jirani au tabia yake, inaweza kuwa na madhara hasi kwako.

Katika makala haya ya mwongozo wa makazi, tuta chunguza mbinu za kutatua mizozo ya majirani na kile ambacho unaweza tarajia ili uweze amua jinsi ya kukabiliana vizuri na hali inayo ondoa starehe.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now