Jinsi yakupata nyumba ya kukodi Australia

Rental crisis deepens in Sydney.

Rental crisis deepens in Sydney. Source: Getty / Getty Image

Sasa hivi, kuna chini ya nyumba 50,000 za kukodisha kote nchini. Miaka mbili iliyopita, idadi ya nyumba hizo ilikuwa karibu mara mbili.


Wakati viwango vya nyumba zaku kodi vikiwa chini kihistoria, kupata nyumba ya kukodi imekuwa vigumu zaidi.

Katika makala haya ya mwongozo wa makazi, tuta kusaidia kuelewa mchakato wakuboresha uwezo wako wakupata nyumba ya kukodi.

Kutafuta nyumba ya kukodi katika soko hili gumu, inastahili zingatiwa sawia nakufanya mahojiano mhimu ya kazi.

Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Jinsi yakupata nyumba ya kukodi Australia | SBS Swahili