Wakati huo huo, chama cha Labor kime ahidi majimbo dola bilioni 2.8 za ziada, katika uwekezaji wa afya.
Ajira na huduma ya afya, vya tawala kampeni za uchaguzi Jumapili

Viongozi wa vyama vikuu nchini Australia, waanza kampeni za uchaguzi mkuu wa uchaguzi wa shirikisho 2019 Source: AAP
Leo jumapili ilikuwa siku nyingine ya kampeni kali, ambako chama cha mseto kili ahadi kutoa ajira pamoja nakuimarisha uchumi.
Share