Rais Magufuli, aliongoza chama chake (Chama Cha Mapinduzi (CCM)) katika uzinduzi rasmi wa kampeni ya uchaguzi mkuu mjini Dodoma, ambako maelfu yawanachama wa CCM walijumuika katika hafla hiyo.
Joto la kampeni ya uchaguzi wa rais laongezeka Tanzania

Rais Magufuli acheza pamoja na wasanii katika kampeni ya urais Dodoma Source: CCM Tanzania
Kampeni za uchaguzi wa rais zime anza rasmi nchini Tanzania, ambako vyama husika vime anza kuuza sera zao kwa kina.
Share