Justin Njuguna ndiye kiongozi wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alitueleza hatua alizo piga katika safari yake ya uongozi wa jumuiya hiyo, kuanzia alipokuwa mweka hazina hadi aliposhinda uchaguzi wakuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.