Wanao ongoza mradi huo wamesema mazungumzo huanzia nyumbani, ambako wazazi wanaweza waelimisha watoto wao, kuhusu viwango na madhara ya sukari ndani ya vinywaji vyenye sukari.
Kampeni mpya yalenga vinywaji vyenye sukari

Vinywaji vyenye sukari ndani ya duka Source: AAP
Mashirika kuminatisa nchini Australia, yamejumuika kumulika madhara kwa afya ya vinywaji vyenye sukari.
Share