Kenya ya amua 2017
Wakenya wajadili bango la kampeni ya uchaguzi ya urais 2017 Source: Picha: Thomas Imo/Photothek, Getty Images
Joto la kampeni za urais linapo endelea kuongezeka nchini Kenya, baadhi ya wanachama wa jamii yawa Kenya wanao ishi NSW, walishiriki katika makala mapya ya SBS Swahili, 'Bunge la Raia', wali toa maoni yao kuhusu juhudi za wagombea wa Urais.
Share




