Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kenya ni muhimu zaidi kuliko mtu mmoja

Wagombea wa Urais wa Kenya, Uhuru Kenyatta (kushoto) na Raila Odinga (katikati) wakizungumza na nabii David Owuor (kulia) mjini Nairobi, Kenya

Wagombea wa Urais wa Kenya, Uhuru Kenyatta (kushoto) na Raila Odinga (katikati) wakizungumza na nabii David Owuor (kulia) mjini Nairobi, Kenya Source: Picha: AFP/Getty Images

SBS Swahili ilizungmza na viongozi wa jamii yawa Kenya wanao ishi Kusini na Magharibi Australia, kuhusu mchakato wa usajili wa wapiga kura nchini Kenya.


Viongozi hao walijadili uwezekano waku hamasisha tume ya uchaguzi ya IEBC pamoja na serikali ya Kenya, kuhakikisha wa Kenya wanao ishi Australia, wanapewa fursa yaku shiriki katika uchaguzi wa urais wa Kenya utakapo fanywa mwaka huu.

Viongozi hao walijadili pia baadhi ya miradi wanayo fanya katika jumuiya wanazo wakilisha.

Bonyeza hapo juu kusikiza mjadala huo.

 


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now