Tamasha ya jamii yawakenya wa NSW

Nancy Kamau Birgen katika tamasha ya jamii yawa Kenya wa NSW 2018 Source: SBS Swahili
SBS Swahili ili hudhuria tamasha ya "Kenya Night" ambako tulizungumza na Nancy Kamau Birgen, aliye tambuliwa kwa kazi yake yakujitolea kuwasaidia watu katika jamii yake. Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share




