Mahakama yaidhinisha ushindi wa Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa urais

Mahakimu wa mahakama kuu ya Kenya Source: Reuters
Mahakama ya juu ya Kenya, imetoa uamuzi kuwa Rais Uhuru Kenyatta alichaguliwa kihalali katika marudio ya uchaguzi wa urais uliyofanyika Oktoba 26 ambao ulisusiwa na upinzani. Wakenya wanao ishi Sydney, walichangia maoni yao kuhusu uamuzi huo wa mahakama na SBS Swahili.
Share




