Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kenya yatumbukizwa katika kashfa mpya mjini Rio

Wanariadha wa Kenya wakiwa katika mazoezi
Wanariadha wa Kenya wakiwa katika mazoezi Source: SBS

Wakenya duniani kote wali sherehekea tangazo la kuondolewa kwa nchi yao katika orodha ya mataifa ambayo haya tekelezi masharti ya shirika linalo kabiliana na matumizi ya madawa yaku ongeza nguvu mwilini miongoni mwa wanariadha (WADA).

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Wakenya duniani kote wali sherehekea tangazo la kuondolewa kwa nchi yao katika orodha ya mataifa ambayo haya tekelezi masharti ya shirika linalo kabiliana na matumizi ya madawa yaku ongeza nguvu mwilini miongoni mwa wanariadha (WADA).

Kuondolewa kwa Kenya katika orodha hiyo kulimaanisha kwamba wanariadha wa Kenya watapata fursa yaku shiriki katika michuano ya Olimpiki mjini Rio, Brazil. Hata hicyo Kenya ime tumbukia katika kashfa mpya, baada ya wakufunzi wa wanariadha wa taifa kurejeshwa nyumbani (Kenya), walipo gunduliwa kuwa wame chukua nafasi za wanariadha kufanya vipimo mjini Rio.

SBS Swahili ilipata fursa ya kuzungumza na wa Kenya ambao wali changia maoni yao kuhusu kashfa ambazo zinaikumba taifa lao katika michezo.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now