Ila sasa, kitengo kipya cha afya chakusafiri kinacho tumia nishati ya sola, kina saidia kutoa chanjo za UVIKO-19 katika miji midogo na vijiji nchini Kenya.
Kutoa chanjo katika maeneo ya vijiji vya nchi kwa joto sahihi, ni moja ya changamoto ambayo inakabili mradi wa chanjo wa Kenya. Wakiwa wame egea katika wilaya ya Kasarani, ya mji mkuu wa Kenya, Nairobi ni kundi la wafanyakazi wa afya ambao, wako kwenye ujumbe wakuongeza chanjo za UVIKO-19. Kwa mujibu wa shirika la Afya la Dunia, mtindo mpana wa virusi katika bara la Afrika unaenda chini ila, bado hayaja dhibitiwa kabisa.
Wafanyakazi wa afya kwa sasa wanaripoti ongezeko kwa wanao chukua chanjo, wanapo peleka chanjo moja kwa moja kwa watu ambao hawawezi fanya safari ndefu za kwenda hospitalini.