Lengo kuu la shirika la Shukrani Home Foundation, niku toa mchango kwa jamii.
Jane S Kitungu kutoka shirika hilo, alitembelea Idhaa ya Kiswahili ya SBS siku chache baada yaku pokea tuzo hiyo kwa niaba ya shirika lake, Bi Jane alitupa maelezo kamili kuhusu miradi ya shirika la Shukrani Home Foundation katika mahojiano tuliyo fanya naye.





