Wakenya watawala katika tuzo za jamii

Baadhi ya wakenya na tuzo walizo shinda Source: SBS Swahili
Wanachama wa jamii yawa Kenya, walikuwa miongoni mwa washindi, katika sherehe iliyo andaliwa na kitengo cha NSW cha shirika la Celebration of African Australian. Baadhi ya washindi wa tuzo hizo, wali changia hisia zao na Idhaa ya Kiswahili ya SBS.
Share




