Baadhi ya wakenya wame furahia ishindi wa chama cha Jubilee ambacho viongozi wake wame pewa fursa yakuongoza taifa hilo kwa miaka mitano ijayo. Na wengine wame salia wakifanya tathmini ya upungufu wa wagombea wa vyama vyao.
Wakenya wafunguka kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu
Rais Mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto wapokea hati zakuongoza taifa katika ukumbi wa Bomas of Kenya Source: Picha: AAP/Sayyid Abdul Azim
Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2017 nchini Kenya, yame zua mshangao miongoni mwa wakenya wanao ishi ughaibuni.
Share




