Wakenya waadhimisha siku ya mashujaa licha ya ongezeko ya sintofahamu nyumbani

Balozi wa Kenya nchini Australia, Mh. Isaiya Kabiira ajumuika nawa Kenya katika maadhimisho ya siku ya mashujaa Source: SBS Swahili
Jamii yawa Kenya wanao ishi NSW, walijumuika kuadhimisha siku ya mashujaa ambao walipigania uhuru wa taifa lao. Baadhi yao walichangia maoni yao na SBS Swahili
Share




