Wakenya wafunguka kuhusu uamuzi wa mahakama kuu
Raia abatiza mtaa jijini Nairobi, jina la Hakimu Mkuu Maraga Source: DANIEL IRUNGU
Punde baada ya Mahakama Kuu ya Kenya kuamua kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais naku amuru uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya, SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wakenya wanao ishi Australia, ambao walifunguka kuhusu uamuzi huo.
Share




