Vijana Wakenya waadhimisha sikukuu ya Pasaka

Source: Gode
Pasaka ni sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya ufufuo wa Yesu kutoka kwa wafu, kama ilivyoelezwa katika Agano Jipya, ilitokea siku ya tatu baada ya kumzika kwake baada ya kusulubiwa kwake na Warumi huko Kalvari. Hapa Australia, Jumuiya ya Wakenya walikusanyika pamoja huko Merrylands kusherehekea siku hii kubwa. Mwandishi wetu Gode Migerano ana maelezo zaidi kutoka kwa vijana waliohudhuria maadhimisho hayo.
Share