Upinzani umeendelea na kampeni ya uasi wa kiraia nchini Kenya.
Wakati hoo hoo, mamlaka ya mahakama nchini Kenya yameendelea kuwekwa chini ya mtihani mkali kutoka mifumo mingine ya serikali, wanasiasa na wanaharakati wa haki za kiraia.
SBS Swahili ilizungumza na mwanasheria nchini Kenya, kuhusu ongezeko la shinikizo kwa mfumo wa mahakama katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
Share






