Bw Trump anashtumiwa kwa kosa lakutumia mamlaka yake vibaya kama rais, katika mawasiliano yake na Ukraine marekani inapo elekea katika uchaguzi wa rais mwaka huu.
Jumanne tarehe 21 Januari ndipo, pande zote zitawasilisha ushahidi wao katika kesi hiyo.