Mfalme wa muziki wa Zouk Bw Kidum anakaribia kuanza ziara ya tamasha nchini Australia, na licha yakubanwa kwa ratiba yake, alipata muda wakuzungumza na SBS Swahili kuhusu kazi yake.
Kwa maelezo ya ziada kuhusu ziara ya Kidum, tembelea tovuti yake:
www.therealkidum.org
Share
