Utaratibu waku rejesha majukumu ya usalama mikononi mwa mamlaka ya Somalia, unaendelea kwa kasi na unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Mwandishi wetu Jason Nyakundi ametuandalia makala maalum kuhusu hatua hiyo pamoja na taarifa zingine kutoka barani Afrika.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.