Amesema pia kuwa sera kubwa ya serikali ya Australia, itazidisha mzozo wa makazi, ambao Labor inajaribu kukarabati kwa kupitisha muswada wa makazi.
Wakati muswada wa makazi umekwama, watu ambao wanakabiliana na shinikizo la makazi, itabidi wasubiri hadi seneti itakapo fanya kikao kingine tena kati ya 13-16 Juni, kujua hatma ya sera hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.