Jamii nyingi hutafuta fursa zaku boresha maisha ya wanachama wao, kupitia mbinu mbali mbali.
Kiongozi wa shirika la KISWA ambalo ni shirika linalo wawakilisha wakenya wanao ishi Sydney, alieleza idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu baadhi ya miradi ambayo shirika lake linafanya, kwa niaba ya wanachama wake, pamoja na fursa za ushirikiano ambazo shirika lake linatafuta na mashirika mengine ya jamii.
Kwa taarifa ya ziada kuhusu KISWA, watafute kwenye facebook kwaku andika: Sydney Kenyans Kiswa
Share





