KISWA ya adhimisha mwaka mmoja wakuhudumia jamii

Wanakamati wa shirika la KISWA katika maadhimisho ya mwaka mmoja wa huduma Source: SBS Swahili
Shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association (KISWA) ambalo hu hudumu mkoani NSW, hivi karibuni lili adhimisha mwaka mmoja waku hudumia jamii.
Share




